Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako

Naibu Waziri wa Maji

Posted on: November 23rd, 2017

Kaimu Meneja wa Uchimbaji Visima (DDCA) Ndugu George John (Mwenye Suti nyeusi) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji (Jumaa Aweso) namna compresa inavyosaidia katika shughuli za uchimbaji wa visima.