Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako

Waziri wa Maji Prof. Mbarawa akiongea na Wafanyakazi wa DDCA

Posted on: October 11th, 2018

Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa akiongea na wafanyakazi wa DDCA (Hawapo pichani) kwenye ofisi za Wakala makao makuu. Pamoja na mambo mengine, Waziri alitoa maelekezo mbalimbali ikiwemo wafanyakazi kufanya kazi kwa bidii, weledi na masilahi mapana ya Wakala kwa kufuata taratibu za kuratibu nyaraka ili kukusanya mapato yatakayosaidia wakala kusonga mbele.