DDCA - Makao Makuu
Posted on: June 19th, 2017Hapa ndiyo Makao Makuu ya Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA). Ubungo, Pembezoni mwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam - Tanzania
''Pata kisima na bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako"