Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako

Borehole drilling














Wakala wa uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) ulianzishwa mwaka 1997, chini ya sheria za wakala No. 30 (Government Executive Agency No.30). Malengo makubwa ya uanzishwaji wa wakala huu ilikuwa ni kutafuta vyanzo vipya vya maji kupitai uchimabaji wa visima na ujenzi wa mabwawa.

Ili mteja aweze kupata huduma ya uchimbaji wa kisima, unatakiwa kufuata hatua zifuatazo;-

  • Hakikisha una ripoti ya utafiti wa maji chini ya ardhi
  • Lete hiyo ripoti ofisini ili utenegezewe gharama za makadirio ya uchimbaji wa kisima
  • Lipia gharama za uchimbaji kupitia banki ya NMB kwa akaunti uliyopewa
  • Shughuli za uchimbaji zitaanza haraka iwezekeanavyo ndani ya siku tatu baada ya malipo kufanyika.