Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako

Geophysical Survey

Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa,tunatoa huduma za utafiti wa maji Ardhini mikoa yote ya Tanzania

Utaratibu kufanyiwa Utafiti wa Maji

1. Kujua eneo la kufanyia Utafiti (Inatusaidia kujua gharama kutokana na Umbali)

2. Kufanya utafiti kutumia vifaa vya kitaalamu pamoja wa Wataalamu waliobobea kwenye miamba ardhini

3.Gharama zetu zinaanzia Tshs.200,000/= kuendelea kutokana na Umbali wa eneo 

4. Malipo yetu yatafanyika kupitia Bank NMB 2220558955 Mwenge