Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI
Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako
Ndugu Mteja,
Karibu DDCA upate huduma ya kuchimbiwa kisima na kujengewa bwawa bora kwa gharama nafuu lakini pia kwa kujali thamani halisi ya pesa yako.
Taaluma ya uchimbaji wa visima inahitaji weledi wa kutosha