Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako

Mei Mosi, 2019

  • Tarehe ya tukio: Wednesday 1st, May 2019 - Wednesday 1st, May 2019
  • Muda: 08:00 am - 04:00 am
  • Location: Uwanja wa Taifa
  • Watazamaji: Union Workers

Wafanyakazi wa Wakala wa Uchimbaji Visima na Ujenzi wa Mabwawa (DDCA) wakiwa wameungana na wenzao kushrehekea sikukuu ya wafanyakazi Duniani.

Sherehe hizi kimkoa zimefanyika katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam zikiongozwa na mgeni Rasmi Mh. mkuu wa Mkoa Komredi Paul Makonda. 

Sherehe kitaifa zimefanyika jijini Mbeya zikiongozwa na mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli.