Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako

Rig ikianza kuchimba kisima

Posted on: June 4th, 2019

Lengo kuu la picha hii ni kuleta uelewa mpana kwa wateja na wadau wetu ili wajue hatua za awali kabisa za uchimbaji wa kisima.