Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI
Pata Kisima na Bwawa bora kwa gharama nafuu na kwa kujali thamani halisi ya pesa yako
Timu ya Wakala ikiwa katika eneo la mteja ikifanya utafiti wa maji chini ya ardhi. Ripoti ya utafiti huu utasaidia kuandaa makadirio ya gharama za uchimbaji.